Sinywi pombe tena kwa ajili ya afya ya akili na matatizo ya dawa.linguoboy wrote:Ól braon is feic cad a thagann amach!
Drink a little and see what comes out!
I don't drink alcohol anymore both for reasons of mental health and problems with medicine.
Lakini nina pasi ya Ayalandi.
But I have an Irish passport.
__________
Ninamchukia tena baba yangu. Mama yangu iko Berlin na ndugu yangu na leo usiku tulizungumza kumhusu baba na sasa nina hakika kwamba wema wake wote ambao anatuonyesha ni bandia. Anakuwa mzee na anaogopa kuwa pekee. Alimkiria mama kwamba aliacha kumtukana kwa sababu ya mama alipata urithi na anautaka. Vilevile anadhani kwamba nimepita "matatizo yangu" yanayomhusu kwa sababu nilimwandikia nikihitaji kitu.
I hate my father again. My mother's in Berlin with my brother and tonight we talked about my dad and now I'm sure that all of his niceness that he shows us is fake. He's getting old and he's afraid of being alone. He admitted to my mum that he stopped verbally abusing her because she got an inheritance and he wants it. He also thinks I've gotten over "my problems" with him because I wrote to him when I needed something.
Msiniambie nisichukie, kwa sababu siwezi kuacha sasa hivi.
Didn't tell me I shouldn't hate because I can't stop it right now.
Najua hii si thread ya kuandika matatizo — lakini nilitaka kuandika kwa Kiswahili.
I know this is not the venting thread, but I wanted to write in Swahili.